
KAZI BORA, UBORA WA KUDUMU
UBUNIFU, USAHIHI NA UBORA WA HALI YA JUU KWA GHARAMA NAFUU
UFUNDI WA TILES
Tunabadilisha sakafu na kuta zako kuwa za kuvutia zaidi kwa upangaji na uwekaji wa tiles kwa ustadi na ubunifu wa hali ya juu, tukizingatia usahihi,umaridadi na uimara unaodumu kwa muda mrefu.
PLASTA YA KISASA
Tunabadilisha kuta zako kua na muonekano wa kisasa unaovutia. Tunatumia teknologia ya kisasa(Yapfix decorative plaster) kukupa kuta zilizonyooka na zenye mvuto wa kipekee, zenye kuendana na hali ya hewa ya aina zote. Hudumu kwa muda mrefu zaidi.
UPAKAJI RANGI WA KISASA
Tunapaka rangi kwa ubunifu unaovutia. Huduma zetu za rangi na decoration huifanya nyumba yako au office yako iwe na muonekano wa kisasa zaidi, yenye mvuto na yenye kutambulisha ladha ya kipekee.

Ubunifu wa kisasa na huduma za uhakika kwa Nyumba yako
Tunabadilisha mwonekano wa nyumba yako kwa kutumia ufundi wa tiles wa kitaalamu, plasta ya kisasa (Yapfix), uwekaji wa paving, ufundi wa mabomba pamoja na upakaji rangi wa kuvutia. Kila mradi unatekelezwa kwa umakini, usahihi na viwango vya juu vya ubora ili kuhakikisha matokeo yanayodumu na kukidhi matarajio yako.
MIRADI YETU BORA
Ubunifu wa Kisasa, Uthibitisho wa Kudumu: Miradi Yetu ya Hivi Karibuni ya Kitaalamu
Mapambo ya Sakafu ya Kisasa
Usanifu wa kisasa wa tiles kwenye nyumba ya makazi ya kifamilia.
Ukuta wa Kisasa kwa Matumizi ya Biashara
Mradi wa plasta na rangi ya kisasa (Yapfix) uliowekwa kwenye Nyumba ya biashara.
Angalia Mradi
Wateja Wetu Wanasema Nini
Hivi ndivyo baadhi ya wateja wetu wanavyoelezea huduma kutoka Quality Works

Neema John
Mmiliki wa Nyumba- Mikocheni
Nimeridhika sana na kazi ya kufunga tiles waliyonifanyia Quality Works. Walikuwa wakamilifu kwenye kila hatua na walikamilisha kazi kwa muda. Nyumba yangu ina muonekano mpya kabisa!

James Mwakalinga
Mkandarasi – Kigamboni
Nilihitaji fundi wa plasta ya kisasa (Yapfix) na rangi za kisanii — Quality Works walifanya kazi ya kipekee. Ubunifu wao na umakini wao umenifanya niwateue kwa kila mradi mpya.

Asha Hussein
Mfanyabiashara – Tabata
Nilinunua tiles kutoka kwao na pia nikapata huduma ya upakaji rangi wa kisasa. Huduma ni ya kitaalamu, na matokeo yalizidi matarajio yangu. Nitaendelea kuwashauri kwa wengine.

Kelvin Lema
Developer – Tegeta
Quality Works walifanikisha mapambo ya nyumba yangu mpya kwa ubunifu wa hali ya juu. Timu yao ni ya kuaminika na wanaelewa sana kazi zao. Napendekeza kwa asilimia 100!.
Gundua Jinsi Tunavyoweza Kubadilisha Muonekano wa Ndoto Zako Kuwa Halisi.
Kutoka kwa wazo hadi kukamilika – tupo nawe kila hatua. Tayari kuanza safari ya kubadilisha nyumba au biashara yako? Wasiliana nasi leo kwa ushauri bila malipo na tuunda kitu cha kipekee pamoja.
Miaka 10+ ya uzoefu wa kazi bora
Wateja 1,000+ walioridhika
Ubunifu na usahihi wa hali ya juu


